Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka Kiingereza kwa Kiswahili. Ona asili · Hariri tafsiri
Karibu kwenye tovuti ya Msaada ya Envaya!
Tovuti ya Msaada ya Envaya inakusudiwa kwa ajili ya wadau kutoka mashirika ya kiraia katika Afrika ya Mashariki ili kujifunza kuhusu Envaya na jinsi ya kutumia uwezo wake mbalimbali.
Bonyeza mada yoyote kutoka kwenye orodha hapo chini ili kujifunza zaidi.
- Utambulisho kwa Envaya
- Kutumia Envaya katika Lugha yako
- Kujiandikisha Shirika lako kwenye Envaya
- Kufungua Akaunti yako ya Envaya
- Kuhariri Tovuti Yako
- Kushirikiana na Mashirika Mengine
- Kusambaza na Kutangaza Tovuti yako
- Kuwasilisha Ripoti kwa Wafadhili
- Kubadili Mipangilio ya Akaunti yako
- Kutumia Envaya kupitia Simu