Envaya
Parts of this page have been translated from Swahili to English. View original · Edit translations

large.jpg

Vijana wa Dira Group waki katika mchezo wa kuigiza katika kufikisha ujumbe kwa jamii juu ya sera na sheria za ardhi. Katika igizo wananchi walipata kufahamu namna ya kutatua migogoro ya ardhi, aswa ile ya wakulima na wafugaji na inayo husu mipaka. Mabaraza ya ardhi ya kijiji yalipata fulsa ya kufahamu aina ya migogoro wanayo wajibika nayo.

Dira group

Kwasasa imejikita zaidi katika Kutoa elimu kwa njia ya sanaa kupitia mradi wake wa;

Nafasi ya jamii na viongozi wa vijiji katika kutekeleza sera na sheria za ardhi

large.jpg

hawa ni viongozi wa Dira theatre group wakiwa na Katibu Tarafa wa gairo katikati wakiwa katika utekelezaji wa mradi wa uimarishaji utawala kwa viongozi wa vijiji vya tarafa ya gairo.