Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

1 kuwaunganisha wanawake wajane waweze kuunda vikundi vya pamoja ili waweze kubuni miradiĀ  itakayo wasaidia kuinua kipato chao.

2 kuwaelimisha wanawake waendane na mabadiliko ya tabia ya nchiili wasiweze kuathiriwa na mabadiliko hayo mf.ukame.

3 kutoa elimu ya jinsia na mazingira(gender and deveropment) pamoja na jinsia na maendeleo

4 kutoa elimu juu ya haki za binadamu na haki za wanawake

5 kutoa elimu juu ya ukatiri wa kijinsia