Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Mgeni rasmi, afisa maendeleo ya jamii kata ya Bugarama bi Anna Mwakalinga akiwahutubia wanachama, walezi na watoto walio katika mazingira magumu siku ya uzinduzi wa mradi wa TEGEMEZA.
Maoni (0)
Afisa tawala na fedha wa asasi ya COLD bi Martina Kennedy Mbiti akisoma risala siku ya uzinduzi wa ofisi ya asasi na utoaji wa sare za shule.
Watoto wanaosoma katika shule ya msingi Ibanza waliopewa msaada wa sare za shule na asasi ya COLD