Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

IMEANZISHWA 1996 ZANZIBAR, NA KUZINDULIWA RASMI 1997 NA WAZIRI WA HABARI WA SMZ, MHE. ISSA MOHD ISSA.

INA WANACHAMA 170. MIONGONI MWAO NI WASHAIRI NA WATUNZI MBALIMBALI, WAPENZI WA MASHAIRI NA WANAKISWAHILI.

MAKAO MAKUU YA AWALI YALIKUWA KIKWAJUNI WELES (1996-2007), KISHA KIJITO UPELE (2008-2011) NA AMANI KWA SASA.