Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Una maoni gani dhidi ya ongezeko la vitendo vya unyanyasaji wa kingono(Ulawiti) kwa watoto wa kike na kiume, je adhabu zinazotolewa zinakidhi? nini kifanyike

ANPPCAN TANZANIA CHAPTER
June 25, 2012 at 12:53 PM EAT (edited June 25, 2012 at 1:03 PM EAT)

Mfano ulio hai huu hapa chini;

JELA MIAKA 30 KWA KULAWITI MTOTO WA KIUME.

Mkulima wa kijiji cha Ihanja jimbo la Singida Magharibi, Samweli Simon(22), ameukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukiri kosa la kumlawiti kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 9

Awali mwendesha mashitaka, Magafu alidai mahakamani hapo kuwa juni 12 mwaka huu katika muda ambao haujafahamika, mshitakiwa Simoni alimlawiti mvulana huyo mdogo ( jina limeifadhiwa ) na kumsababishia maumivu makali sehemu yake ya kutolea haja kubwa.

Mwananchi, Alhamisi juni 21, 2012.

ANPPCAN TANZANIA CHAPTER
June 25, 2012 at 12:58 PM EAT

The media are key stakeholders in advocating for child rights and we therefore value your contribution and look forward to continue working together!

[message deleted]
Prisca edward (Iringa)
July 12, 2013 at 12:56 AM EAT
Adhabu zinaweza zikasaidia japo pia kama ingewezekana kwaelimisha watu juu ya hivi vitu,ikiwa ni pamoja na madhara yake kwa wanaofanyiwa vitendo hivi,pia kwa wanaofanya vitendo hivi waelimishwe kuhusu njia nyingne wanazoweza kuzitumia kukidhi haja zao pia wajue matatzo wanayowasababshia hao watendewa na juu ya maadili kwa ujumla.....(elimu kwa ujumla itolewe kwa watu) maana huyu anaweza kua si mtu wa kwanza kupatiwa adhabu ya hiv lakin bado kunarpotiwa vtendo vya aina hii,,,,labda tujarb hili

Add New Message

Invite people to participate