Kutoa Elimu itakayoiondoa Jamii katika Ujinga, Umaskini na Maradhi ili kusaidia Makundi maalum kujitegemea Kiuchumi, Kitaaluma, Kijamii nk.
Amakuru agezweho
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE afite ikiganiro kuri uchaguzi bila rushwa inawezekana?.
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE: Katika chaguzi zilizomalizika hivi karibuni ndani ya chama cha mapinduzi zimegubikwa na tuhuma za wagombea kuhonga wapiga kura, je nini hatima ya wagombea masikini ni kweli wataweza kushika madaraka ya kichama au kiserikali endapo hali hii haitakemewa na viongozi wa juu?
2 Ugushyingo, 2012
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE yakoze Amateka paje.
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE (AFL) ni shirika la kiraia liloanzishwa mwaka 2005 july 25 kwa namba YA USAJILI 00NGO/0896.
2 Ugushyingo, 2012
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE yakoze Imishinga paje.
AMANI THE FOUNDATION OF LIFE(AFL) Tunaendesha mikutanoya hadhara katika Wilaya za Kyela – Rungwe na Mbeya Mjini yenye lengo la kuhamasisha Vijana kuijua na kuitekeleza sera ya Taifa ya Maendeleo ya Vijana nchini.
7 Mata, 2012
Ibyiciro
gukemura amakimbirane, Uburezi, uburenganzira bw'ikiremwa muntu, Amahugurwa y'imyuga, ikoreshwa ry'ibiyobya bwenge
Aho uherereye
Mbeya, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye