Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Chama cha Skauti Zanzibar  leo tarehe 17/3/2018 kimemuapisha Skauti mkuu wa chama cha skauti Zanzibar katika ukumbi wa Kilimanjaro Super star Nursery uliopo Mwanakwereke Mjini Zanzibar

 

 

 

 

 

 Mlezi wa Chama Cha Skati Zanzibar Mheshimiwa Balozi Ali Karume ambae pia ni Waziri Wa Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo, akisaini hati ya skauti Mkuu Mheshimiwa Makame Mshimba Mbarouk katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa kilimanjaro Super Star Zanzibar

 

 

Nae mlezi wa Chama hutubia Maskauti waliohudhuria katika Mkutano huo

 

 

 

Skauti Mkuu Akimuapisha Kamishna Mkuu wa Chama Cha Skauti Zanzibar

 

 

 

 Kamishna Mkuu wa Chama Cha Skauti Zanzibar akiapishwa  na skauti Mkuu

 

 

March 19, 2018
« Previous

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.