kitendo cha Bunge letu la jamhuri ya muungano wa Ta nzania kupitisha sheria ya kua kujitochukua mafao kwa mfanyakazi mpaka kutimiza umri wa kustaafu utachangia vijana wengi kushindwa kujiandaa na maisha yao ya baadae pia swala la mtumishi kutumia mafao yake ni lake binafsi kwani wapo wafanyakazi amb ao hutumia kiasio kidogo walisho kusanyanya kwa ajili ya kujisomesha au kutimiza malengo yake.je wewe unasemaje?na pia hakuna aliye na mkataba na Mungu