Envaya
Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri

TEYODEN YAJIANDAA KUFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI NGAZI YA WILAYA BAADA YA KUMALIZA UCHAGUZI WA VIONGOZI KATIKA VITUO VYA KATA 30 MANISPAA YA TEMEKE.

Mtandao wa vijana manispaa ya temeke kwa usimamizi wa Halamashauri ya manispaa ya Temeke imemaliza uchaguzi wa viongozi wa vijana katika vituo vya vijana 30.Katika uchaguzi huu wa wilaya viongozi 6 wanategemewa kupatikana,wakiwa ni mwenyekiti,katibu na mweka hazina kikuwa na msaidizi mmoja kwa kila nafasi ya uongozi.Afisa maendeleo wa jamii na afisa maendeleo ya vijana waliwataka vijana pamoja na viongozi kuhakikisha wanahamasisha vijana kujitokeza na kufanya uchaguzi huo kwa amani pasipo marumbano yoyote.uchaguzi huu unategemewa kuwaweka viongozi watakaochaguliwa katika madaraka kwa muda wa miaka 3.Vijana katika hatua nyingine vijana wanajiandaa ngazi ya kata ili kuhakikisha wanapata nafasi katika uchaguzi huo.

19 Agosti, 2011
« Iliyotangulia Ifuatayo »

Maoni (1)

Temeke (Vijana huu ndio muda wa kujipa uwezo wa kufanya mambo mbalimbali na uwezo wa kuanzisha biashara na ujasiliamali.) alisema:
Athuman mbelwa
27 Agosti, 2011

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.