1. Utetezi wa watu wenye ulemavu wa akili.
2. Elimu kwa watu wenye ulemavu wa akili.
3. Kuhamasisha na kuwapa nguvu watu wenye ulemavu na familia zao.
Mabadiliko Mapya
TANZANIA ASSOCIATION FOR MENTALLY HANDICAPPED imeumba ukurasa wa Miradi.
UTANGULIZI – Mradi wa kujenga uwezo wa viongozi na wanachama wa TAMH-Kagera,ulipatikana kwa ufadhili wa THE FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY LTD yenye makao makuu Dar-es-salaam,Tanzania.Baada ya kurudi kutoka mafunzoni hukomwalisaini mkataba wa ruzuku ya kwanza ya... Soma zaidi
8 Oktoba, 2012
TANZANIA ASSOCIATION FOR MENTALLY HANDICAPPED imejiunga na Envaya.
25 Mei, 2012
Sekta
Sehemu
Bukoba, Kagera, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu