Injira
SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA

SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA

Dar es salaam, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

Wananchi tujiunge na VICOBA ili waweze kuondoa umaskini

agatha kisaka (Dar es salaam-SEDIT)
8 Kamena, 2011 at 12:54 EAT

Kweli kabisa wananchi wa Tanzania wajiunge na mfumo wa VICOBA ili waweze kuondoa umaskini kwa sababu tulio wengi tuna tatizo la kujiwekea akiba ambayo itatufanya tuweze kupunguza tatizo la mitaji na kutatua matizo ya dharura mfano ugonjwa ,ada za shule na tatizo la kiafya.

athanas haule (ngedea)
14 Kamena, 2011 at 17:17 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)

Ili kujipatia uwezo kuzalisha mali, nyenzo ya fedha inatumika kununua nyenzo/mashine/vifaa vinavyohitajika. Tunaomba mwenye ujuzi wa namna ya kuanzisha VICOBA anisaidie

B. D. WADELANGA (SEDIT) (Tanzania)
16 Kamena, 2011 at 12:47 EAT (edited 26 Werurwe, 2012 at 08:06 EAT)
 Hellow mr Athanas Haule, SOCIAL AND ECONOMIC DEVELOPMENT INITIATIVES OF TANZANIA (SEDIT) asante kwa ujumbe wako wa kuhitaji Huduma za VICOBA. SEDIT tuna utaalamu wa kutosha wa kutoa mafunzo ya VICOBA. Uzoefu wetu ni wa miaka kumi hadi sasa tukiwa tumefanya kazi kwa kushirikiana na mashirika mbalimbali ya ndani na nje ya nchi. Zaidi ya miradi 20 imefanywa nasi katika kipindi hicho cha miaka 10. Watanzania wengi wamepata huduma zetu tena kwa mafanikio makubwa. Waweza kutupatia namba zako za simu ili tuweze kuongea nawe kwa kirefu namna gani tunaweza kufungua milango ya kushirikiana nawe/nanyi katika jambo hili la kuisaidia jamii through VICOBA savings and lending scheme.

 

kwa mawasiliano zaidi you can call 0713 602390 or 0786 951999 or 0787 909046, 0769 453538.

 

Asante

 

B. D. WADELANGA

SEDIT Executive Director

Fadhilina Hassan (Daressalaam, banana)
15 Ugushyingo, 2013 at 11:13 EAT (edited 15 Ugushyingo, 2013 at 11:24 EAT)
Ninashida ya mtaji wakuanzisha biashara, nimemaliza chuokikuu cha Daressalaam mwaka 2013 katika fani ya uongozi. Natamani niwemjasiriamali wakuuza juice za matunda na bidhaa za vyakula. Naomba mnisaidie jamani. Namba yangu ya simu ni 0752922333. Asanteni

Andika ubutumwa

Tumira abandi mu kiganiro