Envaya
SAVE CHILDREN OF TANZANIA [SACHITA]
Majadiliano
matatizo ya watoto je tunayatatua
(2)
hapo dad benadeta+ni kutoa elim katika jamii husika tutakuwa tumekomesha tatizo hilo
25 Aprili, 2014 na underson
JUKUMU LA KULEA WATOTO NI LETU SOTE.
Asilimia kubwa ya wa kina baba wamekuwa wakiwaachia wakina mama swala la malezi ya watoto.baba na mama wote mnatakiwa kuwa mstali wambele katika kuwalea watoto si mzazi mmoja.
29 Septemba, 2012 na benardina mwita
Majadiliano mengine kwenye Envaya
Ongeza Mada Mpya