Parts of this page are in Swahili. Edit translations
Nuru halisi kwa sasa tunafanya usafi wa mazingira mtaa wa markaz ulioko Kata ya ukonga.Hii ni katika kutekekeleza azma ya kusimamia suala zima la utunzaji wa mazingira na kutoa elimu hiyo kwa vitendo.Tunatoa elimu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira,Utunzaji wa taka ngumu na kuzisafirisha toka majumbani hadi katika transfer points,kuharibu vyanzo vya mazalia ya mbu,pia kwa kushirikiana na serikali ya mtaa na wadau wengine tunafanya mchakato wa kupata takwimu sahihi ya makazi ,Idadi ya watu n.k.
May 11, 2010