Injira
Nuru Halisi

Nuru Halisi

Wilaya ya Ilala Ukonga Mazizini, Tanzania

Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations
Nasasa tunafanya utafiti wa maswala ya ugonjwa wa malaria maeneo ya markazi kwa ujumla na maeneo mengine kuzunguka maeneo hayo japo hatuja fanikiwa kwa sana kutokana na baadhi ya wadau kuto kuonyesha ushirikiano wa kutosha. Tunapata ushirikiano kutoka serikali ya mtaa huo na pia tunashirikiana na manispaa kitengo cha afya.
Nuru halisi kwa sasa tunafanya usafi wa mazingira mtaa wa markaz ulioko Kata ya ukonga.Hii ni katika kutekekeleza azma ya kusimamia suala zima la utunzaji wa mazingira na kutoa elimu hiyo kwa vitendo.Tunatoa elimu ya umuhimu wa utunzaji wa mazingira,Utunzaji wa taka ngumu na kuzisafirisha toka majumbani hadi katika transfer points,kuharibu vyanzo vya mazalia ya mbu,pia kwa kushirikiana na serikali ya mtaa na wadau wengine tunafanya mchakato wa kupata takwimu sahihi ya makazi ,Idadi ya watu n.k.