Envaya
Neyone sasa imewafikia vijana 200 na akina mama 100 kutoka katika Kata kumi za wilaya ya Newala kuwapa elimu kuhusu katiba ya sasa na mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya.
25 Kamena, 2013
« Inyuma Ahakurikira »

Ibitekerezo (2)

Juma Mawazo-katibu NEYONE. (Newala.) bavuzeko
Mitandao ya vijana ya kata imeanzishwa katika kata 10 wilayani Newala ikiwa na lengo la kuwaunganisha vijana kutoka ngazi ya kaya hadi wilaya na kushikiana na serikali katika utekelezaji wa sera za maendeleo sambamba na kudumisha AMANI, UTULIVU na USALAMA wa wilaya na Taifa kwa ujumla.
25 Kamena, 2013
ASIA KILAMBWANDA - NEWALA FM 98.0, RADIO PRESENTER, LONG ENVAYA FIELD ASSISTANT. (NEWALA) bavuzeko
HONGERENI NEYONE, KWA KUJADILI RASIMU YA KATIBA KWA KUENDESHA MABARAZA YA VIJANA.
3 Nzeli, 2013

Tanga igitekerezo

Izina ryawe:
Aho uherereye
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.