Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Neyone sasa imewafikia vijana 200 na akina mama 100 kutoka katika Kata kumi za wilaya ya Newala kuwapa elimu kuhusu katiba ya sasa na mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya.
Maoni (2)
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya FAHAMU ONGEA SIKILIZWA kuhusu katiba kwa vijana yaliyoendeshwa na NEYONE.
Vijana wa NEYONE watembelewa na BW. OMARI JECHA afisa wa the Foundation for Civil Society