Mashindano ya ngoma aina ya ING'OMA yaliyofanyika kitongoji cha Kingani, Uyole jijini Mbeya Septemba 28 2013. Mzee Ambulungenie, amekuwa maarufu katika kuendeleza ngoma hiyo yenye asili ya WANYAKYUSA. Mashindano ya aina hiyo ni njia mojawapo muhimu katika kuendeleza udugu, urafiki, mashirikiano katika misingi madhubuti ya ujirani mwema na upendo.
Maoni (2)