NEED FOR VOLUNTEERS
METI is in need of volunteers with interests in Fine Arts and Environmental knowledge to foster its newly initiated clubs activities in Mwanza city in Tanzania. Mwanza city known as ROCK city is very attractive with full of tourist ventures and sites like the famous great lake Victoria, the Sanane Island, the wonderful Bismark Rocks as well as the Serengeti national Park. Both internal and external volunteers are warmly welcome. For contact please get in touch through the following contacts.
Cell: +255754 845 084, +255 756 375 144
METI INITIATES ENVIRONMENTAL AND FINE ARTS CLUBS
METI - NYANZA FINE ARTS CLUB
METI has initiated two clubs in Mwanza city namely Nyamanoro Secondary School Environmental Club and Nyanza Primary School Fine Arts Club. The aim is to inculcate the spirit of \love and care for the environment as well as Love for the Fine arts. Here are dtails of the clubs and we are looking for Volunteers who can help us to sustain these clubs.METI_ENVIRONMENTAL_CLUB.docx FINE_ART_CLUB_NYANZA_PRIMARY_SCHOOL.docx
The FOUNDATION FOR CIVIL SOCIETY VISITS METI
Mr. Mathew Chungu from the Foundation visited METI on 26th May, 2012 where he met some METI leaders and members and held a discussion on how the Organization has benefited from the Capacity Building Training conducted in 2010/11 funded by the Foundation. the visitor went through various documents of the organization to see the current situation of the organization in several aspects like finance, filing and recording system as well as strategic planning of the organization.
The visit was very beneficial to the organization because he added some inputs in financial trasactions and recording for the betterment of the organization. He commended what he has seen and adviced that there is need to open doors for networking with different donors through our website so that the organization gets more places for funding the projects of the organization instead of waiting for the FCS only.
FCS VISITS METI
A delegation from Foundation for Civil Society with its donors visited METI on 16th April, 2012. The delegation was lead by Ms Marilyn comprised of5 FCS staff and representatives from their donors from the following countries:
- Sweden
- Denmark
- Netherland
- Switzerland
- Canada
- United Kingdom
A representative from the Ministry of Community Development, Women, gender and Children of Tanzania was also among the visitors.
The main objective of the visit was to meet METI members and be informed how the organization has benefited from the grant of Tzs 7,500,000/= from FCS for organizational capacity building that was granted in 2010.
The delegation was received by some METI leaders and members at Buhongwa which is the headquarters of the organization. The delegation used more than one and a half hours asking questions that geared towards knowing how the funds was used and how it has helped to change the situation of the organization. METI leaders and members responded accordingly until the visitors seemed to be satisfied. Apart from enquiring from the Organization, the delegation also gave constructive ideas that would help the organization to achieve its objectives. For example, looking for ways to make sure that we get funds from other locally available resources than just waiting for eternal donors which might delay the implementation of the planned activities.
They also urged the organization to use its organizational capacities to influence the local authorities at district level to allocate funds for to support the OVCs as per national policy on the issue and that through such funds METI will also benefit by getting some amount for the services of OVCs.
On the other hand they, commended the organization members’ commitment to contribute money monthly for the day-to- day running expenses of the organization instead of depending on donor funds.
METI appreciates for the visit as it has opened doors for future betterment of its activities to realize its objectives.
The visit in Pictures
During the conversation with METI
Visitors with their hosts METI
METI members in their Office at Buhongwa Mwanza city
FCS Narrative Report
Utangulizi
Tarehe: 17/3/2011 | Kipindi cha Robo mwaka: Januari - Marchi 2011 |
P O Box 81
Mwanza
Maelezo ya Mradi
Mkoa | Wilaya | Kata | Vijiji | Idadi ya Wanufaika |
---|---|---|---|---|
Mwanza | Nyamagana na Ilemela | Buhongwa, Butimba, Mkolani, Kirumba, Nyamagana, Nyakato | - | 25 |
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | |
---|---|---|
Wanawake | 5 | 0 |
Wanaume | 10 | 2 |
Jumla | 15 | 2 |
Shughuli na Matokeo ya Mradi
A. Mafunzo ya siku 2 juu ya utawala bora
B. Mafunzo ya siku 2 juu ya usimamizi na udhibiti wa fedha
C. Mafunzo ya siku 2 juu ya uibuaji na uandishi wa miradi
D. Mafunzo ya siku 1 juu ya uandaaji wa mpango mkakati
E. Mafunzo ya siku 1 juu ya Uwekaji kumbukumbu
F. Ufuatiliaji na tathmini ya mradi
G. Ghrama za utawala (Kununua vitendea kazi na kulipia pango la ofisi)
A. Mafunzo ya siku 2 juu ya utawala bora yaliendeshwa tarehe 22-23/12/2010 kwa wana METI 15
B. Mafunzo ya siku 2 juu ya usimamizi na udhibiti wa fedha yaliendeshwa tarehe 10-11/1/2011 kwa wana METI 15
C. Mafunzo ya siku 1 juu ya uandaaji wa mpango mkakatiyaliendeshwa tarehe 12/1/2011 kwa wana METI 15
D. Mafunzo ya siku 2 juu ya uibuaji na uandishi wa miradiyaliendeshwa tarehe 1-2/2/2011 kwa wana METI 15
D. E. Mafunzo ya siku 1 juu ya Uwekaji kumbukumbuyaliendeshwa tarehe 3/2/2011 kwa wana METI 15
G. Ofisi ilinunua vitendea kazi na kulipia pango la ofisi kwa mwaka mzima wa 2011
Mafunzo yaliendeshwa na wawezeshaji mahiri ambao walitumia mbinu shirikishi tena kwa vitendo. Tuliwezeshwa kutalii katiba ya asasi kuona kama inakidhi vigezo vya utawala bora na kukubali kufanya marekebisho pale ilipobidi. Tulibaini kuwa asasi ilikuwa haitumii vielelezo muhimu vya utunzaji kukmbukumbu za fedha na tukapata fursa ya kurekebisha na kuandaa zana hizo muhimu. Aidha tuliweza kuona vigezo vya msingi katika kuandaa mpango mkakakti wa asasi kupitia mafunzo hayo na tukaanza kazi hiyo. Aidha, mafunzo yaliwezersha kuanza kuandika maandiko ya kuomba miradi kupitia vikundi vya mafunzo. Kadhalika tuliona ni nini umihimu wa kuweka kumbukumbu na namna nzuri ya uwekaji kumbukumbu za asasi
B. Mafunzo ya siku 2 juu ya usimamizi na udhibiti wa fedha - matumizi yalikuwa shilingi 1,330,800
C. Mafunzo ya siku 2 juu ya uibuaji na uandishi wa miradi - matumizi yalikuwa shilingi 1,325,200
D. Mafunzo ya siku 1 juu ya uandaaji wa mpango mkakati - matumizi yalikuwa shilingi 669,500
E. Mafunzo ya siku 1 juu ya Uwekaji kumbukumbu - matumizi yalikuwa shilingi 669,400
F. Ufuatiliaji na tathmini ya mradi - hakuna gharama zilizotumika
G. Ghrama za utawala (Kununua vitendea kazi na kulipia pango la ofisi) - matumizi sh. 2,200,000
Jumla kuu ilikuwa shilingi 7,481,882
Mafanikio au Matunda ya Mradi
Uwezo wa kiutendaji wa viongozi na wanachama wa asasi ya METI umeimarika ili kuboresha ufanisi wa shughuli za asasi na kufikia malengo yake
> Kwa upande mwingine mafunzo yamejenga uwezo wa wana METI katika uandishi wa miradi fanisi
> Aidha mafunzo yamewasaidia wana METI kupata uwezo wa kuandaa mpango mkakati wa asasi
> Kwa upande wa fedha, watendaji wake sasa wanajua kanuni zinazoongoza katika kusimamia na kudhibiti fedha za asasi. Asasi imeweza kuandaa fomu za kutumia katika kudhibiti mapato na matumizi ya fedha za asasi. Sasa kuna utenganisho wa majukumu katika masuala ya fedha.
Kwa ujumla uelewa wa viongozi na wanachama wa wana METI umejengwa na kukuzwa kwa kiwango kizuri
Mambo Mliyojifunza
Maelezo |
---|
Mafunzo haya yamekuwa ya msaada sana kwa asasi yetu ambayo kimsingi bado ni changa sana. Viongozi na wanachama wa METI wamejengewa uwezo n auelewa katika kuendesha asasi kwa misingi ya utawala bora. Kila mmoja amejiona ni wa muhimu katika asasi badala ya fikra za zamani kwmaba wenye asasi ni viongozi tu. |
Baada ya mafunzo watendaji wakuu wa asasi pamoja na wajumbe wa bodi wameelewa vizuri majukumu na nafasi zao katika asasi hasa katika masuala ua utawala na udhibiti wa mapato na matumizi ya fedha na raslimali nyingine za asasi. Asasi sasa itaendeshwa kitaalamu na siyo kwa mazoea tu |
Changamoto
Changamoto | Namna mlivyokabiliana nazo |
---|---|
Gharama za juu kwa wawezeshaji wa mafunzo | Kujenga mahusiano mazuri na kuwa wazi kuhusu uwezo wa asasi na kufaulu kuendesha mafunzo. Kuwapunguzia baadhi ya majukumu yaliyokuwa yamebainishwa katika mikataba |
Nafasi haba kwa wanachama kuhudhuria mafunzo kwa wakati kwa kukabiliwa na majukumu mengine ya kikazi | kupanga ratiba yenye kuzingatia nafasi za wanachama na pia kuvizia nyakati za sikukuu kila ilipojitokeza |
Kupanda kwa gharama za mahitaji wakati wa kuendesha mafunzo ukilinganisha na bajeti iliyokuwepo | Kupunguza baadhi ya mahitaji ili kukabiliana na upungufu uliojitikeza |
Mahusiano
Wadau | Namna mlivyoshirikiana nayo |
---|---|
Idara ya Maendeleo ya jamii jiji la Mwanza | Kusaidia kuwapata wawezeshaji wa mafunzo kwa kuzingatia uwezo na uzoefu wao na kwa gharama nafuu |
Mipango ya Baadae
Shughuli Zilizopangwa | Mwezi wa 1 | Mwezi wa 2 | Mwezi wa 3 |
---|---|---|---|
HAKUNA SHUGHULI NYINGINE ILIYOFADHILIWA NA THE FOUNDATION KATIKA ROBO IJAYO |
Walengwa Waliofikiwa
Walengwa wa moja kwa moja | Walengwa wasio wa moja kwa moja | ||
---|---|---|---|
Wajane na Wagane | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wanaoishi na VVU/UKIMWI | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Wazee | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto Yatima | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watoto | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wenye Ulemavu | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Vijana | Wanawake | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) |
Wanaume | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Jumla | (Hakuna jibu) | (Hakuna jibu) | |
Watu wengine | Wanawake | 05 | 0 |
Wanaume | 10 | 2 | |
Jumla | 15 | 2 |
Matukio Mliyoyahudhuria
Aina ya Tukio | Lini | Mambo uliyojifunza | Hatua zilizochukuliwa |
---|---|---|---|
Mafunzo ya usimamizi na utekelezaji wa miradi kwa AZiSE | 15 - 19 Novemba 2010 - Dodoma | > Upangaji na usimamizi wa miradi >Uchambuzi wa Wadau na Tathmini ya Mahitaji >Bao la Mantiki > Ufuatiliaji na Tathmini >Kuandaa mpango kazi >Kupanga bajeti ya mradi >Uandishi wa taarifa >Usimamizi wa fedha | Baada ya mafunzo hasa the Foundation For Civil Society walitoa ruzuku kwa ajili ya kuendesha mafunzo ya ujengaji uwezo wa asasi |
Mafunzo ya kujenga uwezo wa azaki katika masuala ya usimamizi na utunzaji wa kumbukumbu za fedha | 7-11 Februari, 2011 | > Umuhimu wa kumbukumbu za fedha > Taratibu na mifumo ya fedha > Uandaaji wa bajeti > Taratibu na mifumo ya fedha > Kanuni za utawala na utumishi > Ukaguzi wa mahesabu | Asasi imeanza kutengeneza kanuni za fedha na za utawala |
Mafunzo ya Coaching, Mentoring and facilitation Skills | Februari 21 25, 2011- Dar es salaam | > Maana na tofauti kati ya Coaching na mentoring > Coaching inavyofanya kazi > Mbinu za uwezeshaji > Zana za uwezeshaji > Stadi za mawasiliano fanisi | Asasi imepata mtaalam wa kuendesha mafunzo ndani na nje ya asasi |