MEECO
Lengo
Kuwa Jumuiya bora ambayo itakayoweza kuleta maendeleo na kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kupunguza umasikini na kufanya maisha bora kwa jamii.
Mabadiliko Mapya

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imeongeza Habari 3.
Katibu wa MEECO Ndugu Suleiman Jeni Pandu akimkabidhi andiko la Mradi "Uwezeshwaji kwa maendeleo" Mh. Haroun Ali Suleiman, waziri wa kazi Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi na Ushirika kwa ajili ya kuchukuliwa hatua andiko hilo. Makabidhiano hayo yalifanyika ofisini kwake Mwanakwerekwe Soma zaidi
23 Oktoba, 2012
MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imeongeza Habari.
Kwa upande wa Asasi yetu ya MEECO nasisi tunatoa salamu za rambirambi kwa familia za ndugu zetu waliopoteza maisha yao katika mafuriko yaliyotokea. Tunapenda kuungana nao kwa hali na mali kwa upande wa shirika letu la envaya tunashukuru sana kwa kuwa karibu na jamii kila linapotokea janga.
25 Desemba, 2011

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imehariri ukurasa wa Timu.
... Soma zaidi
29 Novemba, 2011

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imeongeza Habari 5.
Vijana hatarishi katika masuala ya uharibifu wa mazingira kwa kuchimba mchanga walio jaa katika Mji wa Mwanakwerekwe, vijana hawa vilevile hutumia bangi na madawa ya kulevya ili kujipatia vipato vyao na huwa hatari sana kwa wapenda maendeleo kwani huwa wanachukuwa silaha mbalimbali katika harakati zao za... Soma zaidi
26 Septemba, 2011

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imeongeza Habari 3.
Viongozi na wanachama wa jumuiya ya MEECO wakiwa katika ziara yao ya kuhamasisha jamii kuhusu utunzaji na uhifadhi wa mazingira ya mikoko katika kijiji cha Unguja Ukuu Mkoa wa Kusini Unguja
23 Septemba, 2011

MWANAKWEREKWE ENVIRONMENTAL ETHICS AND CULTURAL ORGANIZATION (MEECO) imeongeza Habari 29.
Vijana wa MEECO talent group nao hawakombali kushiriki katika uhamasishaji wa utunzaji wa Mazingira katika mikoko katika kijiji cha Unguja ukuu
22 Septemba, 2011
Sekta
Sehemu
Zanzibar, Unguja Kusini, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu