Maeneo ya ukurasa huu yametafsiriwa toka (unknown language), lakini tamko la Kiswahili ni la zamani. Ona asili · Hariri tafsiri
MED inatafuta wshirika ambao wako tayari kushirikiana katika kazi mbalimbali. Kama uko tayari kushirikiana nasi tafadhali usisite kuwasiliana nasi wakati wowote.
Kwa sasa washirika wa MED ni:-
- HakiElimu ya jijini Dar es Salaam na
- UWEZO.net nao pia wa jijini Dar es Salaam ambao kwa pamoja wanatuhisani katika uendeshaji wa vipindi vya Radio.
- CARE - Tanzania
- Shirika la kimataifa la Oxfam GB. Hawa ni wabia wetu katika Mradi wa My Rights My Voice unaotekelezwa katika shule 20 za Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma.