Envaya
Uru rupapuro ruragaragazwa mu rurimi rw'umwimerere Igiswayire. Edit translations

shirika lilianzishwa mnamo mwaka 2011 mwezi wa 12 mkoani Tabora likiwa na lengo la kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi mpya ya VVU kwa vijana kati ya miaka 18 na 45. Shirika liliweka mikakati juu ya kulipata kundi hili la vijana lililo kwenye hatari kubwa ya kukumbwa na janga hili la UKIMWI.

Tangu kuanzishwa kwa shirika hili ni takribani miezi sita sasa kumekuwa na mafanikio yafuatayo

1. Shirika limeweza kuyakusanya makundi yaliyo kwenye mazingira magumu na hatarishi na kuyaweka pamoja na kuyapatia elimu na misaada ia kisaikolojia, kielimu na kijasiriamali.

2.Baadhi ya makundi yamebadili tabia hatarishi na mifumo ya maisha yao baada ya kupata elimu