Envaya

kigoma single parents association

Mtaa wa mwanga sokono,eneo la kizota,kata ya mwanga kusini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

Kuwa asasi inayoshirikisha wajane,wanawake na wazazi pwekee pamoja na vijana wa kike kushiriki katika kulinda na kutetea haki zao,kushiriki katika shughuli za maendeleo,kushiriki katika utekelezaji wa sera mbalimbali pamoja na kujengea uwezo katika ushawishi na utetezi miongoni mwa jamii na hasa makundi yanayoishi kwenye mazingira hatarishi.

Latest Updates
kigoma single parents association joined Envaya.
May 25, 2012
Sectors
Location
Mtaa wa mwanga sokono,eneo la kizota,kata ya mwanga kusini, Kigoma, Tanzania
See nearby organizations