Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Kuinua vipaji vya watoto wenye mazingira magumu kupitia michezo
Mabadiliko Mapya
KASULU SPORTS ACADEMY imeongeza TanzaniaTraditional Games Society kwenye orodha yake ya Mashirika ya Ubia.
partner
5 Julai, 2014
KASULU SPORTS ACADEMY imeumba ukurasa wa Jitolee.
Sports equipments and coaches we are in Kasulu/Kigoma
1 Julai, 2014
KASULU SPORTS ACADEMY imeumba ukurasa wa Historia.
Kikundi kinajulikana kwa jina la Kasulu Sports Academy kimeanzishwa tare he 20/4/2008
Ilianza ikiwa na watoto 30
Ikiwa na aina mbili ya lika kati ya miaka 13 na 15
Lengo kuu la kuanziswa kikundi hiki ni kuinua na kuibua vipaji vya watoto wanao is hi katika mazingira tatanishi(magumu)
Hivyo uwongozi ukaamua kukaa kwa kina na kuamua... Soma zaidi
1 Julai, 2014
KASULU SPORTS ACADEMY imeumba ukurasa wa Timu.
GODFREY GOMBANILA(team manager)
EMMANUEL SHIGY SONDA(secretary general)
SWEID BUTOKE(instructor)
KASHINDE MANGAPI (coach)
JOSEFINA GOMBANILA(treasurer)
1 Julai, 2014
Sekta
Sehemu
KASULU, Kigoma, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu