Maeneo ya ukurasa huu ni kwa Kiingereza. Hariri tafsiri
Integral Assistance to Vulnerable Children (I.A.V.C.) is dedicated to impart society with better life norms through the provision of educational and health training centres, recreational centers, conducting counseling, seminars, workshop and tangible assistance
Mabadiliko Mapya
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) ina ujumbe mpya katika mada Jengo la kudumu kwa asasi mbalimbali.
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC): Awali yote napenda kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu. Kuhusu suala la jengo kwa ajili ya kufanyia. Sasa tunafanya nini ili tuweze kutatua tatizo hilo. Naomba muongozo wenu ili tuweze kuona uwezekano wa kusaidiana katika suala hii ambalo lime zikabili asasi hapa nchini... Soma zaidi
19 Mei, 2014
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) imehariri ukurasa wa Historia.
INTRODUTION – I.A.V.C. was established in Zanzibar on 28th March 2005. This Civil Society, is... Soma zaidi
19 Mei, 2014
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) imeongeza Habari.
Awali yote napenda kuomba radhi kwa kuchelewa kujibu. Kuhusu suala la jengo kwa ajili ya kufanyia kazi kwa upand wa asasi zetu. Sasa tunafanya nini ili tuweze kutatua tatizo hilo. Naomba muongozo wenu ili tuweze kuona uwezekano wa kusaidiana katika suala hii ambalo lime zikabili asasi hapa nchini kwetu.
19 Mei, 2014
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) imehariri ukurasa wa Miradi.
Background – Zanzibar has been facing the challenge of vulnerable children and has become an alarmingly common sight... Soma zaidi
19 Mei, 2014
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) imeumba ukurasa wa Miradi.
Background – Zanzibar has been facing the challenge of vulnerable children and has become an alarmingly common sight... Soma zaidi
13 Novemba, 2011
INTEGRAL ASSISTANCE TO VULNERABLE CHILDREN (IAVC) ina mada mpya kuhusu Jengo la kudumu kwa asasi mbalimbali.
Timothy W. Philemon: Napenda kuzungumzia swala nzima linalozikabili asasi mbalimbali Nchini la kukosa majengo ya kudumu. Swala hili limekuwa tatizo kwa asasi nyingi hapa Nchini na kupelekea asasi nyingi kushindwa kufanya shughuli zake kwa ubora unaotakiwa, ukizingatia wafadhili wengi hivi sasa awatowi pesa kwa... Soma zaidi
30 Mei, 2011
Tovuti Nyingine
Sekta
Sehemu
Zanzibar, Unguja Mjini Magharibi, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu
Tazama mashirika ambayo yapo karibu