Envaya

Esupati Group

ungalimited, Tanzania

Kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi
Mabadiliko Mapya
Esupati Group imeumba ukurasa wa Historia.
ARV ESUPATI GROUP ilianzishwa september 2007 ikiwa na wanachama 17 na hadi kufikia mwaka 2010 september kwa sasa ina wanachama 31 lengo la kuanzisha kikundi hiki ni kutoa huduma kwa jamii unaohusu vvu/ ukimwi tumekuwa tukitembelea watu mbalimbali kwenye kaya zao, kuwapa taarifa na kuwashirikisha juu ya umuhimu... Soma zaidi
13 Januari, 2011
Esupati Group imeumba ukurasa wa Timu.
Mwenyekiti mwenyekiti msaidizi katibu katibu msaidizi mweka hazina mweka hazina msaidizi wajumbe wawili toka kwenye kamati
13 Januari, 2011
Esupati Group imeumba ukurasa wa Miradi.
Kuhamasiha jamii kupima vvu / ukimwi kuwahudumia wagonjwa wa majumbani elimu juu ya matumizi sahihi ya Arv kwa wale walioanzishiwa dawa Kilimo cha mbogamboga kinachohamishika Ujasiriamali kutoa elimu juu ya unyanyapaa kwa walioarithirika na virusi vya ukimwi
13 Januari, 2011
Esupati Group imeongeza Habari 4.
Waelimishaji rika 20 wakiwa darasani wakipata mafunzo namna ya kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi. Picha namba 1,2,3,4 mafunzo haya yalikuwa yanatolewa na Shirika letu la ARV ESUPATI GROUP na mrandi ulifadhiliwa na shirika la Foundation for civil society, tunategemea kufanya shughuli hizi katika kata za Unga limited na... Soma zaidi
13 Januari, 2011
Esupati Group imejiunga na Envaya.
15 Juni, 2010
Sekta
Sehemu
ungalimited, Arusha, Tanzania
Tazama mashirika ambayo yapo karibu