Kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi
Amakuru agezweho
Esupati Group yakoze Amateka paje.
ARV ESUPATI GROUP ilianzishwa september 2007 ikiwa na wanachama 17 na hadi kufikia mwaka 2010 september kwa sasa ina wanachama 31 lengo la kuanzisha kikundi hiki ni kutoa huduma kwa jamii unaohusu vvu/ ukimwi tumekuwa tukitembelea watu mbalimbali kwenye kaya zao, kuwapa taarifa na kuwashirikisha juu ya umuhimu... Soma ibindi
13 Mutarama, 2011
Esupati Group yakoze Ikipe paje.
Mwenyekiti
mwenyekiti msaidizi
katibu
katibu msaidizi
mweka hazina
mweka hazina msaidizi
wajumbe wawili toka kwenye kamati
13 Mutarama, 2011
Esupati Group yakoze Imishinga paje.
Kuhamasiha jamii kupima vvu / ukimwi
kuwahudumia wagonjwa wa majumbani
elimu juu ya matumizi sahihi ya Arv kwa wale walioanzishiwa dawa
Kilimo cha mbogamboga kinachohamishika
Ujasiriamali
kutoa elimu juu ya unyanyapaa kwa walioarithirika na virusi vya ukimwi
13 Mutarama, 2011

Esupati Group yongeyeho 4 Amakuru agezweho.
Waelimishaji rika 20 wakiwa darasani wakipata mafunzo namna ya kuhamasisha jamii kupima virusi vya ukimwi. Picha namba 1,2,3,4 mafunzo haya yalikuwa yanatolewa na Shirika letu la ARV ESUPATI GROUP na mrandi ulifadhiliwa na shirika la Foundation for civil society, tunategemea kufanya shughuli hizi katika kata za Unga limited na... Soma ibindi
13 Mutarama, 2011
Esupati Group yasanze Envaya.
15 Kamena, 2010
Ibyiciro
Aho uherereye
ungalimited, Arusha, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye
Reba ibigo mwegeranye