Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

CHAMIVITA SPORTS CLUB YAITWANGA MAKORORA STARS BAO 1-O katika mechi ya kirafiki.

CAHMIVITA YAHITAJI UWANJA MAALUM WA MAZOEZI NA PIA INAWAKARIBISHA VIJANA U16,U18,U20 WAWE VIZIWI NA WASIO VIZIWI KUJIUNGA NA TIMU ILA HAKUNA MSHAHARA(KWETU VURUGU NA LUGHA CHAFU NI MWIKO ILI HESHIMA KWA WOTE NDIO DIRA YETU KATIKA MICHEZO.

TUNAKARIBISHA MECHI MBALIMBALI ZA KIRAFIKI TUMA SMS KWA NAMBA ILIYOPO KATIKA TOVUTI HII.

CHAMIVITA kinaendelea na mafunzo kwa wanamichezo viziwi katika wilaya ya muheza ikiwa ni awamu ya mwisho ya mradi.

March 19, 2012
Next »

Comments (1)

CHAMA CHA MICHEZO CHA VIZIWI -TANGA(CHAMIVITA) (Independence avenue/MAGEREZA MKOA TANGA) said:
Tunaomba wadau mbalimbali wa michezo mkoani Tanga na viunga vyake na pia nje ya mkoa wa Tanga watuunge mkoano kwa kutupatia vifaa vya michezo. na fedha ili kuweza kuinua ARI ya wanamichezo viziwi.
March 19, 2012

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.