Envaya

wanawake na maendeleo

ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO)
22 Novemba, 2014 07:12 EAT

nani ni kikwazo cha maendeleo ya wanawake 1,wanawake wenyewe? wanawaume? mifumo ya utawala? 

HOPE FOR NEW GENERATION
21 Desemba, 2014 13:44 EAT

@ASASI YA JINSIA NA MAENDELEO ROMBO(AJIMARO): kwa maoni  yangu  vikwazo ni vingi ila kimoja wapo ni ushirikishwaji usio sahihi kwa wanawake na wanaume katika miradi ya maendeleo endapo miradi inayoanzishwa katika jamii itafanyika kwa kuwashirikisha kwa ukamirifu wanaume na wanawake basi miradi ya wanawake ingekuwa mikubwa na wanawake wangepata maendeleo.

Kuhusu mfumo dume kwa kiasi furani unachangia lakini sio asilimia kubwa maana kwa asasa kutokana na mabadiliko ya kiuchumi ,sayansi na technology,utamaduni mambo yamfumo dume yanapungua kwa kiasi fulani.


Ongeza Ujumbe Mpya (Ficha)

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.