Envaya
Wanawake Wajane Tanzania (WAWATA)
Habari
Mafunzo ya kufungua Envaya. Golden Park Hotel, Sinza.
31 Mei, 2010
Maoni (3)
Mwanasatu Development Organization
(Kibaya, Kiteto, Manyara -Tanzania) alisema:
Hongereni sana wakinamama.Hata huku Masaini nao Wajane wamechoka kurithiwa.
11 Aprili, 2012
Beatrice (Kagera) alisema:
Ni kweli lakini bado wajane wa vijijini wanadhurumiwa mali zao
30 Aprili, 2012
Smile on foundation (Mwela, Kigamboni, Dar es Salaam) alisema:
Hongereni sana kwa juhudi zenu kwa wakinamama wajane muendelee kutoa elimu ili haki na usawa upatikane kwa wote.
2 Novemba, 2018
Ongeza maoni
Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.
Maoni (3)