Envaya
Parts of this page are in Swahili. Edit translations

DIRA {VISION}YA WATU
Kuwa na jamii ambayo inatambua uwezo na nafasi ya mwanamke katika kuleta maendeleo na fikra potofu kuwa mwanamke hawezi kuzifanya

DHIMA{MISSION}YA WATU
Kutambua fursa na jitihada mbalimbali juu ya jitihada za maendeleo zinazofanywa na wanawake na kuziweka wazi,Pia wanawake wanatumia ujuzi,Maarifa na vipaji vyao kadri wawezavyo na hivyo kuwa shahidi wa uwezo wao katika kufanya shuguli za maendeleo.

MADHUMUNI YA WATU
[1]. Kujenga wanawake,Watoto,Wazee,Vijana katika uwezo wa kiuchumi,Kielimu na uongozi.
[2]. Kusaidia kuboresha afya za wanawake wajawazito,Watoto na jamii kwa ujumla na kuwapa
       elimu kuhusu lishe,Kujikinga na maradhi
[3]. Kuboresha hali ya lishe,Uzalishaji na usindikaji wa chakula kwa kusaidia na tiba katika
        kilimo  na ufugaji.
[4]. Kuboresha mazingira na usafi wanapoishi na maeneo ya kufanyia kazi
[5]. Kukuza vipaji vya watoto wa kike wanawake na vijana kwa ujumla kwa kufuatilia semina na         mafunzo mbalimbali kutambua vipaji vyao na masoko.
[6]. Kuhamasisha uendelezaji wa michezo mbalimbali sanaa na utamaduni mashuleni,vyuoni,             na vijijini.
[7]. Kupinga na kukemea aina zote za unyanyasaji wa kijinsia,uonevu,na uvunjaji wa haki                 za binadamu kufanya jamii itambue haki zao na kuwapeleka kunakohusika.
[8]. Kusaidia kujenga hali ya amani,upendo na ushirikiano kwa kutumia wataalamu mbalimbali   
       katika kutoa elimu kwa jamii.

December 6, 2012
« Previous

Add a comment

Your name:
Your location:
Your email:
(optional)
Your email address will not be published.