Semina ya mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya ya TANZANIA iliyofanyika Tegeta,Ilihusu kuwaelimisha wakinamama juu ya umuhimu wa mchango wao katika kupatikana kwa katiba mpya
Maoni (0)
wanawake tunaweza ni shirika lisilo la kiserikali lililoanzishwa mwaka 2010 mwezi wa kumi ' na lilisajiliwa rasmi 2o11 mwezi wa pili' shirika hili linajihusisha na jamii wanawake ,watoto,wazee vijana jamii nzima kwa ujumla