Log in
WANAWAKE TUNAWEZA

WANAWAKE TUNAWEZA

kinondoni, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

          Asasi ya Wanawake Tunaweza ilianzishwa 05/10/2010 katika mtaa wa PWANI kata ya KUNDUCHI TEGETA wilaya ya KINONDONI,mkoa wa DAR-ES-SALAAM.Ikiwa na wanachama 20.Lengo kuu ilikuwa kuwaunganisha wanawake mbalimbali katika maendeleo na shughuli mbalimbali za kijamii na kitaifa.

          Ilisajiliwa rasmi tarehe 21/02/2011 imejishughulisha katika shughuli mbalimbali za kijamii{michezo mbalimbali ya watoto],kisiasa[mijadala ya uelimishaji juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya TANZANIA

          Asasi hii imfanikiwa kuongeza wanachama na kutimiza baadhi ya malengo kama kuelimisha jamii kupitia semina ,kushirikr katika michezo  mbalimbali

          Asasi ya Wanawake Tunaweza inakumbana na changamoto mbalimbali kama ukosefu wa vitendea kazi ikiwemo usafiri kuwafikia walengwa vifaa vya ofisi,wafadhili.