Fungua
STREET CHILDREN CARE ORGANIZATION

STREET CHILDREN CARE ORGANIZATION

Kisarawe, Tanzania

Mafuliko Dar es salaam

         Strecco imefanya kazi kubwa miezi michache iliyo pita ili kusaidia jamii iliyokubwa na mafuliko katika eneo la msimbazi jijini Dar es salaam. Mafuliko hayo yalitokana na mvua nyingi ambazo hazijawahi miaka hamsini iliyo pita. Kwa kweli mvua hizi zimeleta maafa makubwa sana mpaka sasa watu hawana mahali pa kuishi, nyumba zao zimebomolewa na maji ,watu  wasiopungua arobaini wamekufa kutokana na janga hilo .

       Kwahiyo sisi kama Strecco tumeguswa sana na janga hili kwasababu wathirika wengi ni watoto.

4 Januari, 2012

Maoni (1)

(Afahamiki) alisema:
kazi nzuri strecco
23 Januari, 2013

Ongeza maoni

Jina lako:
Mahali ulipo:
Email yako:
(sio lazima)
Anwani yako ya email haitachapishwa.