Log in
Victory Youth Support Organization

Victory Youth Support Organization

Morogoro Mjini, Tanzania

Parts of this page are in Swahili. Edit translations

vijana wa VIYOSO wakiwa kwenye picha ya pamoja kwenye makao makuu ya viyoso Morogoro

vijana wa VIYOSO wakiwa na mwezeshaji wa mafunzo ya Hotel na ujasiliamali Mwl. Mkude

baadhi ya vijana VIYOSO wanopatiwa mafunzo ya hotel na ujasiliamali kupitia kituo chao cha Victory & Faith Training Centre hivi karibuni

walimu na mkurugenzi wa viyoso wakifurahia jambo pamoja mara baada ya kukabidhi michango mbalimbali kwa watoto walemavu wa shule ya k/Ndege manispaa ya Morogoro

viyoso yatembelea kituo cha watoto walwmavu cha shule ya k/Ndege na kutoa misaada mbalimbali kwa watoto, pichani mkurugenzi wa viyoso bwn Freddy akiwa amemnyanyua mtoto mlemavu wakifurahi pamoja

vijana Wakifuatila kwa umakini mafunzo ya Life Skills kutoka kwa mkurugenzi wa Viyoso wa shirika hayupo pichani

shirika la Viyoso Limeendesha semina ya LIFE SKILLS kwa wanafunzi na vijana wa manispaa ya Morogoro lengo ni kuwajengea uwezo juu ya mambukizo ya VVU na uzazi salama.

Shirika la Viyoso likiendesha Mafunzo ya kuwajengea uwezo vijana kwenye masuala ya  ICT ndani ya Manispaa ya Morogoro.

Shirika la viyoso laendesha mradi wa ICT kwa vijana wa Manispaa ya Morogoro kupitia kituo chake cha victory & Faith Training Centre, mradi wenye lengo la kuwajengea uwezo vijana 120 kutoka kata 29 za manispaa ya morogoro hili waweze kuajiliwa na kujiajili

picha hapo juu vijana wakipatiwa mafunzo ya utengenezaji batiki na vikoi kutoka kwa mwezeshaji, mafunzo yaliyo andaliwa na shirika la viyoso