Envaya

upendo wajane mausi

mataa wa mausi kata ya majengo, Tanzania

kutoa elimu ya ukimwi na vvu kwajamii na kupima afya zao na kuishi kwa matumaini.pia kutoa elimu ya utengenezaji wa lishe.
Latest Updates
upendo wajane mausi added a News update.
kikundi cha upendo mausi kutoka Dodoma kata ya majengo mtaa wa mausi,sasa hivi inajishughulisha na utengenezaji wa mabatiki baada ya kupata short course kutoka kwa TASAF,hvyo kikundi cha upendo maus kinapatwa na changamoto za ghalama za usafir wa mabatiki kutoka dar es salaam,rangi za mabatiki na majola yake pamoja na vifaa vya kutengenezea.
April 12, 2011
upendo wajane mausi updated its home page.
April 12, 2011
upendo wajane mausi joined Envaya.
June 4, 2010
Sectors
Location
mataa wa mausi kata ya majengo, Dodoma, Tanzania
See nearby organizations