Injira
upendo wajane mausi

upendo wajane mausi

mataa wa mausi kata ya majengo, Tanzania

kutoa elimu ya ukimwi na vvu kwajamii na kupima afya zao na kuishi kwa matumaini.pia kutoa elimu ya utengenezaji wa lishe.
Amakuru agezweho
upendo wajane mausi yashyizeho Amakuru agezweho.
kikundi cha upendo mausi kutoka Dodoma kata ya majengo mtaa wa mausi,sasa hivi inajishughulisha na utengenezaji wa mabatiki baada ya kupata short course kutoka kwa TASAF,hvyo kikundi cha upendo maus kinapatwa na changamoto za ghalama za usafir wa mabatiki kutoka dar es salaam,rangi za mabatiki na majola yake pamoja na vifaa vya kutengenezea.
12 Mata, 2011
upendo wajane mausi yongeye amakuru kuri paje ibanza.
12 Mata, 2011
upendo wajane mausi yasanze Envaya.
4 Kamena, 2010
Ibyiciro
Aho uherereye
mataa wa mausi kata ya majengo, Dodoma, Tanzaniya
Reba ibigo mwegeranye