Envaya
Email:tumainigroupmza@yahoo.com
Namba ya simu:+255 754 060 863
Anwani ya barabara:uwapo mwanza mjini fuata barabara iendayo airport,chepuka na barabara ya Furahisha fuata barabara itokayo police Kirumba hadi Kitangiri madukana.Fuata barabara ya vumbi iendayo Mihama secondari utakuta kibao cha jina la kikundi.
Anwani ya barua:P.Box 11076,Mwanza.
Jina la mwasilianajiFaustina Makanshu.
Jina la kazi la mwasilianaji:Mwenyekiti