Log in

Translations: Kiswahili (sw): todo

13 / 14
BaseKiswahili
There's still more to do! Click the links below to improve your website:Bado kuna zaidi ya kufanya! Bonyeza viungo vya chini kuboresha tovuti yako:Edit
To DoKufanyaEdit
DoneMafunzo kwa wakulima wa kahawa, Vocation training skills,Usambazaji wa Miche ya kahawa-Arabica,usambazaji wa Ng'ombe wa Maziwa,na Bwawa la Samaki,
(This translation refers to an older version of the source text.)
Edit
Write about your historyCSM ilizaliwa mwaka katika Wilaya ya karagwe mkoani kagera,Tanzania mnamo mwaka 2002, na kusajiliwa rasmi mwaka 2010.CSM lilianzishwa na MR&Mrs Jonathan Mulokozi, ambao wito wao mkubwa ulikuwa ni kuwasaidia watu wasiojiweza ktk nyanja mbalimbali.Edit
Write about your projectsCSM ni NGO ambayo ina mradi mkubwa wa uzalishaji na uboleshaji wa zao la Kahawa hususani aina ya Arabica, na Tuna malengo ya Kuanzisha Kituo kikubwa cha watoto yatima.CSM lina mkakati wa kutoa elimu kwa wajasilia mali, na Usindikaji wa mazao yatokanayo na Kilimo.CSM limeanzisha mradi wa ufugaji samaki katika kijiji cha Kishojo, Wilayani karagwe,kagera tanzania kwa kushirikana na Halmashauri ya wilaya ya karagwe. CSM tangu mwaka 2002 tulianza kutoa elimu, na Vitendea kazi kwa taaluma ya Ufundi...Edit
Create home pageUmba ukurasa mkuuEdit
Add your team membersCSM lina waratibu wakuu wapatao 6.Karagwe kuna MR&Mrs Jonathan Mulokozi, jackson kamkoto,H.Ng'oma, na Huko Arusha, Kuna, Rev, Viany kamili, na Rev, Peter paul, nEdit
Share your latest newsTunahitaji kufanya na wataalam waliosomea mambo ya Kilimo na mifugo katika mradi wetu wa Q. Coffee production hapa wilayani karagweEdit
Add some photosOngeza picha nyingineEdit
Add your logoOngeza nembo yakoEdit
Add contact informationCSM Box 370,kayanga karagwe,email,john.mulokozi@gmail.com , jmulokozi2000@yahoo.com,Mob.+255(0) 769 62 16 30Edit
Describe your partnershipsCSM linaubia na marafiki wa Uk,USA, na watendaji wa Serikali, na Watumishi wa Mungu ndani na nje ya nchi.Edit
Start a discussionAnza majadilianoEdit
Request for volunteers(Not translated)Edit