About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
Translations
:
Kiswahili (sw)
: register
Instructions
Filter:
All
Not translated
Translated
Unapproved
Approved
Progress:
90 / 90
« Previous
1
2
3
4
5
6
Next »
Base
Kiswahili
What type of organization are you?
Shirika lako ni la aina gani?
Edit
Non-profit civil society organization
Shirika la jumuiya ya kiraia
Edit
Business
Biashara
Edit
Other
Nyingine
Edit
What country does your organization operate in?
Shirika lako linafanya kazi nchi gani?
Edit
Click the button below to continue.
Bonyeza kitufe hapo chini kuendelea.
Edit
Next step
Hatua ifuatayo
Edit
Sorry, Envaya currently doesn't support organizations from your country. We hope to support additional countries soon.
Samahani, kwa sasa, mashirika kutoka nchi yako hayaruhusiwi kujiandikisha kwenye Envaya. Tunatumaini kufikisha Envaya katika nchi nyingine hivi karibuni.
Edit
Sorry, Envaya is only intended for non-profit civil society organizations at this time.
Samahani, kwa sasa Envaya inakusudiwa kwa mashirika ya jumuiya ya kiraia tu.
Edit
Your qualification information was not found. Please complete the qualification form again.
Taarifa ya ustahiki imepotea. Tafadhali maliza fomu ya ustahiki tena.
Edit
Congratulations! Your organization appears to qualify for a website on Envaya.
Hongera! Shirika lako linaonekana kustahiki kupata tovuti katika Envaya.
Edit
Now, enter a few pieces of information to create your account on Envaya. This account will let you log in and update your organization's website.
Sasa, ingiza data chache kuumba akaunti yako katika Envaya. Akaunti hii inakuruhusu kufungua na kuhariri tovuti ya shirika lako.
Edit
Enter the full name of your organization:
Ingiza jina kamili la shirika lako:
Edit
This will be the title of your website.
Hili litakuwa jina la tovuti yako.
Edit
Enter the city and region where the organization is located:
Ingiza mji na mkoa ambapo shirika lipo:
Edit
« Previous
1
2
3
4
5
6
Next »