Base (Swahili) | Kiswahili |
---|---|
1.Walimu wa michezo mbalimbali anahitajika kama ifuatavyo; a: mwalimu wa mpira wa miguu b.mwalimu wa mpira wa wavu c.Mwalimu wa maigizo Walimu wote hawa wawe na elimu ya michezo husika 2. Mwalimu wa mazingira-awe na utaalam wa ubunifu katika kupamba mazingira. 3.Mkufunzi wa scout kwa vijana- awe na elimu ya scout. |
(Not translated) |