About
Explore
Search
Volunteer
Updates
English
Kiswahili
Kinyarwanda
Log in
/muwape/projects
: English
Base
English
Asasi ya Muwape inategemea kutekeleza Mradi wa Kuwajengea Uwezo Viogozi na Wanacha wa Uelewa wa Kuiongoza Asasi kwa umahiri. – Mradi huo utafadhiliwa na Foundation for Civil Society.Mradi ni wa Ruzukuya Tsh.7,364,500. – Mradi huu utakuwa wa Miezi mitatu pia utawashirikisha jamii inayozunuka eneo la Mradi.
(Not translated)
Edit