Base (Igiswayire) | Kinyarwanda |
---|---|
Indaba africa imeanza mwaka 2007 ikijielekeza zaidi katika kutoa huduma za mwasiliano ya teknolojia ya habari na hasa huduma za Internet katika wilaya ya Mbozi katika mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kuwa wilaya ya Mbozi ambayo kwa idadi ya wakazi wake inachukua nafasi ya kwanza katika mkoa mbeya kwa wilaya zake ambapo inakadiriwa kuwa na watu 700,000. Kwa kipindi kirefu imekuwa ikikabiliwa na matukio ya uhalifu ambao katika hali ya kawaida matukio yake yamekuwa yakishtua umma wa watanzania na dunia kwa ujumla, lakini hii yote ni matokeo ya uelewa na mabadiliko ya pole pole ya jamii ya wananchi wake na kwakuzingatia hilo Indaba iliona pengo la upatikanaji wa habari na pia kuunganisha jamii hiyo kutoka vijijini na maeneo mengine. Ninafuraha kutamka kuwa toka kuanza kwake jumla ya wateja na watumiaji wa internet wapatao 271,312 wamehudhulia na kuhudumiwa na vituo vyetu vya Internet wilayani Mbozi. Nia ni kupanua huduma hii hadi pembezoni kabisa ambako watu wamekosa fulsa hii |
(Not translated) |
Kugirango ugire icyo uhindura kubyo wasemuye, ugomba kwinjira mu rubuga Injira · Iyandikishe