Fungua

/indabaafrica/post/jumapili-njema-wapendwa,97556: Kiswahili

AsiliKiswahili
JUMAPILI NJEMA WAPENDWA!!: Napenda kuwatakieni wote mtakaopita hapa JUMAPILI njema sana . Nineona niwatakieni jumapili hii kwa wimbo huu ingawa sielewi nini kinasemwa ila nimeupenda tu...naamini wanaimba kumsifu Mungu..... (image) (image)(Bila tafsiri)Hariri
JUMAPILI NJEMA WAPENDWA!!(Bila tafsiri)Hariri