Base (Swahili) | English |
---|---|
Vick Kamata mbunge wa Viti Maalum CCM ambaye ndiye Mgeni rasmi katika uzinduzi wa filamu ya Mr. President uliofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena Dar es salaam, akiizinduzi filamu hiyo ambayo inaelezea maisha ya kiongozi wa nchi . Mbunge Vick Kamata amewaeleza wasanii mbalimbai waliohudhuria katika uzinduzi huo kuwa anaimani kuwa sheria mpya ya haki miliki itatungwa na Bunge ili kulinda kazi za wasanii kutokana na kuibiwa kazi zao muda mrefu. Ameongeza kwamba kazi ya sanaa ni kazi nzuri ambayo imekuwa ikiwasaidia wasanii kuishi maisha mazuri, lakini pia kufanya maendeleo katika maisha yao. Vick Kamata amezindua filamu hiyo kwa niaba ya Waziri Mathias Chikawe ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika uzinduzi huo hata hivyo hakuhudhuria kutokana na majukumu mengine ya kitaifa ![]() Steve Mengele aka Steve Nyerere akitambulisha waigizaji wenzake wal;ioshiriki katika filamu ya Mr. President ambayo yeye mwenyewe ameigiza kama Rais katika filamu hiyo, huku waigizaji wenzake wakonekana wenye furaha katikauzinduzi huo. Pacha zaidi tembelea fullshangwe.Blog |
Police round Vick Quota CCM MP who is the guest of honor at the launch of the film Mr. President held tonight at the Serena Hotel in Dar es salaam, he izinduzi film, which describes the life of the leader of the country. MP has told Vick Police round mbalimbai artists who attended the inauguration that he believes that the new copyright law itatungwa and Parliament to protect the works of artists from their work stolen a long time. He added that the art work is good work that has been ikiwasaidia artists live a good life, but also making progress in their lives. Police round Vick has launched a film on behalf of the Minister Mathias Chikawe who was the guest of honor at the inauguration, however, did not attend due to other responsibilities of national ![]() Steve aka Steve Nyerere Mwengele he introduced his fellow actors wal; ioshiriki in the film Mr. President which he has portrayed himself as President in the film, with fellow actors wakonekana katikauzinduzi happy time. Pacha more visit fullshangwe.Blog |
Translation History
|