Fungua

/indabaafrica/post/ccm-bei-mafuta-ya-taa-ishushwe,41500: Kiswahili

AsiliKiswahili
(image) Bei za mafuta katika vituo mbalimbali zimeendelea kuwa karibu sawa tu na zilivyokuwa kabla ya kile kilichoitwa punguzo – KAMATI Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeiagiza Serikali kutafuta njia ya kushusha bei ya mafuta ya taa na kuhakikisha mafuta yote yanayoingia nchini yana ubora unaotakiwa....(Bila tafsiri)Hariri
CCM: Bei mafuta ya taa ishushwe(Bila tafsiri)Hariri