(image) Bei za mafuta katika vituo mbalimbali zimeendelea kuwa karibu sawa tu na zilivyokuwa kabla ya kile kilichoitwa punguzo – KAMATI Kuu (CC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeiagiza Serikali kutafuta njia ya kushusha bei ya mafuta ya taa na kuhakikisha mafuta yote yanayoingia nchini yana ubora unaotakiwa.... | (Not translated) | Hindura |