Envaya

/kiumaki/post/16: Kiswahili: CMR92DcqdsN6F5rFeD5nRBTK:content

Asili ((unknown language)) Kiswahili
Asante kwa ushauri wako.Tunajaribu kutafuta fedha lakini bado
hatujapata. Kama unaweza kutuunganisha na watu wa kutusaidia au
mashirika mengine ya kutusaidia tutashukuru sana.Kwa ujumla maeneo ya
milimani kwa sasa yanaharibiwa sana na shughuli mbalimbali za
kibinadamu na inakuwa vigumu sanakurudisha uoto wake ukilinganisha na
sehemu tambarale au nyika au eneo hoehevu.
Rev. M Ngulinzira.
MWENYEKITI-KIUMAKI
(Bila tafsiri)

Ili kuhariri tafsiri, lazima ufungue. Fungua · Jiandikishe