Kusaidia watoto wa mitaani wapate malezi ya kifamilia/katika familia, elimu na stadi za maisha. – Kutoa elimu za jamii ipate uelewa na ifahamu wajibu wa kulea watoto yatima katika familia zao, na kuto wapeleka katika vituo. – Pia kuzuia watoto yatima kupelekwa kwa walezi/wazee wasio na uwezo. – Kuhimiza misaada ya serikali na jamii iwafikie yatima katika familia wanazo lelewa. | Helping street children to care for family / families, education and life skills. – Provide community education and awareness may know the responsibility of caring for orphaned children in their families, and not bring in stations. – Also taken to prevent children orphaned by carers / older people without power. – Encourage government and community assistance overtake orphanage in which they raised a family. | Edit |