Log in

/kgcd/post/61519: English

BaseEnglish
Shirika la Kijogoo Group For Community Development linatafuta wadau wa kusaidiana nao katika harakati za kupinga ukatili wa Kijinsia unaoendelea Wilayani Gairo kwenye Kata za Nongwe,Mandege<Chagongwe na Chanjale dhidi ya ukeketaji wa watoto wadogo wanaosoma darasa la kwanaza na pili hasa katika kipindi hiki cha likizo. – Utafiti uliofanywa na shirika letu kwa kushirikiana na Viongozi na Watendaji wa Serikali ngazi ya Vijiji na Kata wakazi waishio kwenye kata hizo bado wamekuwa...(Not translated)Edit
Ofisi ya Kijogoo Group for Community Development ina wakaribisha wadau/mdau anayetaka kujitolea, sisi tuko tayari kumpokea lakini ofisi haina uwezo wa kumpa hata nauli ispokuwa ikitokea fursa yoyote atapewa kipaumbele cha mahitaji muhimu ya kibinadamu. – Asante – Tangazo hili limetolewa na – Mkurugenzi – Bwana Ramadhan Omary(Not translated)Edit
Habari zenu wadau, – Kijogoo Group for Community Development Imebahatika kuwasilisha maombi ya ruzuku ubalozi wa Ufaranza,hivyo na hamasisha wadau wote tutumie fursa hii kutuma maombi ya Ruzuku ili tuweze kuisaidia Nchi katika kupambana na mabadiliko ya Tabia Nchi na kusaidia Jamii inayoishi katika mazingira magumu ili sote tusonge mbele na kupiga hatua za kimaendeleo. – Asanteni sana – Ramadhan said – Mkurugenzi ...(Not translated)Edit